Schweitzer Fachinformationen
Wenn es um professionelles Wissen geht, ist Schweitzer Fachinformationen wegweisend. Kunden aus Recht und Beratung sowie Unternehmen, öffentliche Verwaltungen und Bibliotheken erhalten komplette Lösungen zum Beschaffen, Verwalten und Nutzen von digitalen und gedruckten Medien.
Unganisha misamiati na utafsiri unaofaa. - Verbinde die Vokabeln mit der passenden Übersetzung.
Chagua utafsiri ulio sahihi. - Wähle die richtige Übersetzung aus.
Tafsiri kwa kijerumani. - Übersetze ins Deutsche.
Ordne zu: Einzahl oder Mehrzahl? - Panga: Umoja au Wingi?
mwanadamu, wanajeshi, mpishi, mchungaji, waandishi wa habari, mgonjwa, walevi, wazungu, mdudu, mwenyeji, wageni, mnyama, wezi, watanzania
Tafsiri maneno yafuatayo. - Übersetze die folgenden Wörter.
Tafsiri sentensi zifuatazo. - Übersetze die folgenden Sätze.
1. Mwalimu ana vitabu shuleni.
______________________________________________________________
2. Je, una njaa?
3. Hapana, sina njaa.
4. Je, ana kaka au dada?
5. Hana kaka wala dada.
Tunga sentensi kwa kufuatilia maelezo yafuatayo. - Bilde Sätze bei den Du die folgenden Angaben berücksichtigst.
1. Jana tulitembea mbali.
2.
3.
4.
5.
Tafsiri, halafu tunga wingi na tafsiri pia. - Übersetze, dann bilde die Mehrzahl und übersetzte diese auch.
Ukoo wa Martha/Marthas Verwandtschaft
Martha ni mtoto wa Joseph na Rita.
Joseph na Rita ni wazazi wake Martha.
Joseph ni baba wa Martha.
Rita ni mama wa Martha.
Martha ni mjukuu wa John na Lucy.
Najat ni shangazi yake Martha.
Leila ni mama mdogo wa Martha.
Mjomba wa Martha ni Luka.
Suzana na Adamu ni binamu wa Martha.
Jibu maswali yafuatayo kutokana na maelezo juu. - Beantworte die folgenden Fragen entsprechend der obigen Beschreibungen.
1. Wazazi wa Martha wanaitwa nani?
_____________________________________________________________
2. Shangazi yake Martha anaitwa nani?
3. Je, Martha ana binamu?
4. Mama mdogo wa Martha anaitwa nani?
5. Luka ni baba mkubwa au mjoba wa Martha?
Jaza nafasi zilizoachwa wazi. Halafu tafsiri. - Fülle die offene Lücken aus. Danach übersetze.
1. Najat ni _______________ wa Martha.
2. Leila ni _______________ wa Martha.
3. Martha ni _______________ wa Suzana.
4. Martha ni _______________ wa John na Lucy.
5. Luka ni _______________ yake Rita.
Unganisha sentensi na utafsiri unaofaa. - Verbinde die Sätze mit der passenden Übersetzung.
a)
b)
c)
d)
e)
f)
Dateiformat: ePUBKopierschutz: Wasserzeichen-DRM (Digital Rights Management)
Systemvoraussetzungen:
Das Dateiformat ePUB ist sehr gut für Romane und Sachbücher geeignet - also für „fließenden” Text ohne komplexes Layout. Bei E-Readern oder Smartphones passt sich der Zeilen- und Seitenumbruch automatisch den kleinen Displays an. Mit Wasserzeichen-DRM wird hier ein „weicher” Kopierschutz verwendet. Daher ist technisch zwar alles möglich – sogar eine unzulässige Weitergabe. Aber an sichtbaren und unsichtbaren Stellen wird der Käufer des E-Books als Wasserzeichen hinterlegt, sodass im Falle eines Missbrauchs die Spur zurückverfolgt werden kann.
Weitere Informationen finden Sie in unserer E-Book Hilfe.