Shairi "Usiruhusu Wanajeshi Wamuue Mwanasesere Wangu" ni kazi ya fasihi ya malenga na mwandishi Mswidi wa Kibengali, Anisur Rahman iliyo katika lugha mbili. Linafafanua vita kwa mtazamo wa mtoto anayeshuhudia matokeo ya operesheni ya kijeshi katika mji wake. Matini ya shairi hili ni uzungumzi nafsi unaosheheni sehemu 31, kila sehemu ikidhihirisha hofu ya binti huyo mdogo na ujasiri wake. *****
The poem 'Don't Allow the Soldiers to Kill My Doll' is a bilingual literary work by Bengali-Swedish poet and writer Anisur Rahman. It describes the war from the point of view of a child who experiences the results of military intervention in her town. The text of the poem is a monologue that consists of 31 parts each revealing a little girl's fear as well as her courage.
Sprache
Produkt-Hinweis
Broschur/Paperback
Klebebindung
Maße
Höhe: 203 mm
Breite: 127 mm
Dicke: 5 mm
Gewicht
ISBN-13
978-9914-760-06-4 (9789914760064)
Copyright in bibliographic data and cover images is held by Nielsen Book Services Limited or by the publishers or by their respective licensors: all rights reserved.
Schweitzer Klassifikation