Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, 'No Money Smells', kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai "zipo, na zanuka". Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: "Umemuua mwanao ... Lazima umle ... " Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!
Sprache
Produkt-Hinweis
Broschur/Paperback
Klebebindung
Maße
Höhe: 178 mm
Breite: 127 mm
Dicke: 9 mm
Gewicht
ISBN-13
978-9966-56-157-2 (9789966561572)
Copyright in bibliographic data and cover images is held by Nielsen Book Services Limited or by the publishers or by their respective licensors: all rights reserved.
Schweitzer Klassifikation